Lyrics: Mbosso - Maajab (Maajabu) . || Official Song Lyric

Mbosso - Maajab (Maajabu) Lyrics

LYRICS SOUND TRACK
ARTIST: Mbosso
SONG: Maajab

Mbosso AKA Maromboso A WBC Team Member A Well Up raising Tanzanian Musician Officially Made His Brand New Single Release A Week A Go Known By The Name "Maajab". An African Native Word Meaning Wonders, It's A Love Expression Song With Avery Deep Love Emotions With This Sound Track Trying To Tell The World How Amazing The Love And Affections He Gets From His Lover.

This Time Round We Are Dropping Out This Song Official Lyrics To All Fans And People Who Are Touched To Learn This Song Enjoy And Always Brighten Your Day With Us.LYRICS STARTS.....!!!

Na Na Na Na Na..!
Na Na Na Na.! Na!
Na Na Na Na.! Na!
 Na Na Na.! Na!

Verse 1:

Imara Kashikilia , Mwache Avimbe Bichwa.
Wallah Kanipatia , Anastahili Sifa.
Chumba Kizima Chanukia , Utuli Kajifisha.
Vidole Nasimamia , Ukingoni Nafikishwa.

Bridge:

Ananikosha Mwili , Kwa Maji Ya Madafu
Ye Ndo Kocha , Na Ananifunza Kucheza Rafu.
Anichwa Tumbo La Ngili , Kwa Mafuta Ya Karafu.
Nikichoka , Ananikanda Kwa Mabarafu.

Chorus: x 2

Maajab Maajab .. , Penzi Lake Laa Ajab
Maajab Maajab .. , Mahaba Yake Yaa Ajab

Verse 2: 

Kifuani Hunipaka Halua , Mikono Tende Anazichambua
Ananilambaa...
Kitandani Humwaga Maua , Mengine Hata Chembe 
Sikuwa Naju Anitoa Ushamba...
Na Nitake Nini Kwake, Niombe Nisipewe . Iwe Pemba Ama 
Chake Chake Nichaguwe Mwenyewe...
Kanipa Pombe Roho Yake , Ninywe Nilewe...

Mambo Shega .. Yaan Mwake Mwake
Mangaka Msewe..
Libandike ... Penzi Kama Gazeti
Walisome ..

Tuwaadabishe .. Sangara Shombo Vibwenti 
Tuwang'ong'e
Nikila Nilishe, Chapati Za Alzeti 
Ninone..

Tuwafungishe Midomo Uzi Cement Tuwashone

REPEAT BRIDGE x 1 

REPEAT CHORUS x 2

Verse 3: 

Halua... Halua...
Hunipa Vitamu
Laini.. Laini...

Halua... Halua...
Kinyama Cha Hamu
Uhondo Utosini..

Halua.. Halua..
Sili Kwa Kijiko
Nalishwa Kwa Ulimi

Halua... Halua...
Napewa Hadi Vya Miiko
Sasa Nitake Nini

THE END ....!!

Powered by Blogger.